Vijana huchukuliwa kuwa ni soko gumu la kuhudumia kwa maana ya kutoa huduma za fedha, kwani wengi wao hawana Vitambulisho vinavyoweza kukidhi matakwa ya “Mjue Mteja Wako”, pengine hii inatokana na kiwango cha chini cha miamala inayosababishwa na viwango vyao vidogo vya ushiriki kiuchumi, hivyo kutokuwepo kwa faida zilizo dhahiri za uwekezaji kwa watoa huduma wengi.